EN SW

Mkopo wa Kiwanja

Mkopo wa ardhi kutoka Bayport unakuwezesha kununua ardhi yenye hati miliki katika maeneo yaliyochaguliwa na Bayport. Inakuruhusu kumiliki ardhi na kulipia kwa awamu katika miezi 36 hadi 60. Malipo yatakuwa nafuu zaidi kusimamia utakuwa na muda zaidi kulipia mkopo. Kama unaangalia kufanya uwekezaji zifuatazo, basi mkopo wa ardhi ni bora kwa ajili yako.

Wakala wa kitaalamu kutoka Bayport ataweza kutoa ushauri, kusaidia na kukongoza wewe kupitia mchakato wa kutoa ahadi ya mkopo wa ardhi. Hapa Bayport tunasaidia uwezeshaji wa maendeleo ya kiuchumi na mabadiliko ya kijamii.