EN SW

Huduma Zetu

Bayport Tanzania hutoa mikopo kwa watumishi wa Serikali na watumishi wa Makampuni Binafsi yaliyoidhinishwa kupitia njia ya kulipa kupitia mishahara yao.

Kiwango cha Mkopo Hutegemea na Uwezo Binafsi wa Kulipa

Mahesabu ya kiwango cha kulipa yanafanyika na mfumo wa kitaalam wa Bayport, na hakuna makosa ya kibinadamu. Ina hesabu kiwango cha juu cha makato inayoruhusiwa kukatwa na kiwango cha mkopo inayoweza kutolewa kwa mteja. Mfumo huu inahakikisha mteja ana bakiwa na kiwango cha mshahara baada ya makato yote.

Malipo ya Haraka

Bayport imeondoa urasimu ili kukuwezesha mteja kupata fedha zako za mkopo ndani ya masaa 24 baada kuidhinishwa.

Muda wa Mkopo

Bayport hutoa muda wa mikopo zifuatazo;
mwezi 1, miezi 3, miezi 6, miezi 12, miezi 24, miezi 36 na miezi 60.