EN SW

Hatua 3 Rahisi

  1. Jaza fomu hii (HAPA)
  2. Tuta kupigia baada ya masaa 24.
  3. Mshauri wa mauzo wetu atakuja kukuona ili kusaini fomu yetu

Tunahitaji vitu vifuatavyo kutoka kwako:
Nakala ya kitambulisho cha kazi, hati za mishahara ya hivi karibuni na taarifa ya benki ya akaunti inayoonyesha mashahara unapopitia