EN SW

Apply for BAYPORT ADDITIONS

Jitulize

Jitulize ni bidhaa ya mkopo inayokuwezesha kupata mkopo wa haraza kwa punguza la riba na mda. Tunatoa mimoso kwa mahitaji tofauti yawl ya kibiashara, kununua kiwanja, masomo au kulipia mikopo mingine.

Jiunge na Ofa ya Jitulize

Wakala wa kitaalamu kutoka Bayport ataweza kutoa ushauri, kusaidia na kukongoza wewe kupitia mchakato wa kutoa ahadi ya Jitulize. Hapa Bayport tunasaidia uwezeshaji wa maendeleo ya kiuchumi na mabadiliko ya kijamii.